Cheza burePlay for free

Bure · Kwenye simu yakoFree · On your phone

Maswali. Mubashara. Wewe dhidi ya wote.Quiz time. Live. You against everyone.

Kila mtu anapata swali lilelile kwa wakati mmoja. Chagua jibu lako, bonyeza FUNGA kabla muda haujaisha, na uone kama umepatia. Aliye sahihi na mwepesi zaidi anashinda.Everyone gets the same question at the same moment. Pick your answer, tap LOCK before time runs out, and see if you got it right. The quickest right answers win.

A live question on LOCK with four answers and a countdown

Hatua tatu tuJust three steps

  1. The home screen listing games starting soon

    1Chagua mchezoPick a game

    Tazama michezo inayoanza sasa hivi au baadaye leo. Bonyeza Jiunge.See the games that are on now or later today. Tap Join.

  2. An answer locked in, with the button saying Locked

    2Chagua, kisha FUNGAChoose, then LOCK

    Gusa jibu unalofikiri ni sahihi, kisha bonyeza kitufe cha dhahabu FUNGA. Jibu lililofungwa haliwezi kubadilishwa.Tap the answer you think is right, then press the gold LOCK button. Once it’s locked, it stays.

  3. The result: the right answer, your points and your rank

    3Ona kama umepatiaSee if you got it

    Muda ukiisha, jibu sahihi linaonekana kwa wote. Unapata alama 100 kwa jibu sahihi, na hadi 50 zaidi kwa kasi.When time is up, everyone sees the right answer. You get 100 points for a right answer, and up to 50 more for being fast.

End of the game: first place, points and new badges

Panda juu ya ubaoClimb to the top

  • Pata alama za uzoefu (XP) kila unapocheza, na upande ngazi.Earn experience points (XP) every time you play and move up levels.
  • Pata beji: Mwanzo Mzuri, Ushindi wa Kwanza, Kamili na zaidi.Collect badges: First Game, First Win, Perfect Score and more.
  • Linganisha nafasi yako na wengine kila wiki.See how you rank against everyone, every week.
  • Michezo mingine ina zawadi kutoka kwa mwandaaji.Some games come with a prize from the organiser.

Njia tatu za kuchezaThree ways to play

Chemsha BongoLive Trivia

Maswali ya kuchagua jibu. Ujuzi na kasi ndio silaha.Multiple-choice questions. Know it, and be quick.

Wengi WanasemaMost People Say

Kisia jibu ambalo watu wengi walitoa. Jibu maarufu zaidi, alama nyingi zaidi.Guess what most people answered. The more popular your answer, the more points.

Pambano1v1 Battle

Wewe na mpinzani mmoja, maswali matano. Mkilingana, swali la maamuzi linaamua.You against one rival, five questions. If it’s a tie, one final question decides.

A 1v1 battle: two players, one has already locked

Maswali ya kawaidaGood to know

Inalipiwa?Does it cost anything?
Hapana. Kucheza ni bure.No. Playing is free.
Nipakue app?Do I need to download an app?
Hapana. Fungua LOCK kwenye kivinjari cha simu yako. Ukipenda, iongeze kwenye skrini ya mwanzo ionekane kama app.No. Open LOCK in your phone’s browser. If you like, add it to your home screen and it works like an app.
Najiungaje?How do I sign up?
Weka namba yako ya simu. Tutakutumia SMS yenye namba sita. Iandike, chagua jina, umemaliza.Enter your phone number. We send you an SMS with a six-digit code. Type it in, pick a name, done.
Kiswahili au Kiingereza?Kiswahili or English?
Vyote viwili. Badilisha lugha wakati wowote.Both. Switch any time.
Inatumia bando nyingi?Does it use a lot of data?
Hapana. Imetengenezwa kwa simu za kawaida, na kuna hali ya kuokoa data.No. It’s built for everyday phones, and there’s a data saver setting.
Watoto wanaweza kucheza?Can children play?
Ndiyo, wenye miaka 6 hadi 12 kwa ruhusa ya mzazi au mlezi, katika michezo yao maalum ya watoto.Yes. Children aged 6 to 12 play with a parent’s or guardian’s permission, in games made for them.
Hii ni kamari?Is this betting?
Hapana. Huweki pesa yoyote. Alama za LOCK si pesa. Unacheza kwa ujuzi na kwa furaha.No. You never put in money, and LOCK points are not money. You play for fun and to show what you know.

Uko tayari? Funga jibu lako la kwanza.Ready? Lock in your first answer.

Cheza burePlay for free

Unaandaa tukio, darasa au ofisi?Running an event, a class or an office party? Andaa mchezo wakoHost your own game